Clue Plus ni toleo la kulipia la programu ya Clue. Usajili wa Clue Plus unakupa ufikiaji wa vipengele mbalimbali vya Premium, hali na manufaa yanayotegemea sayansi. Unaweza kujisajili kwenye Clue Plus kwa mpango wa mwezi au mwaka.
Fikiria Clue Plus kama mwandani wako wa afya aliye karibu nawe, anayekuwa nawe katika kila hatua. Unaweza kusoma zaidi kuhusu vipengele vya Premium katika makala haya.
Toleo la Clue lisilolipishwa litaendelea kupatikana daima, kwa sababu tunataka programu iweze kufikiwa na kumudu gharama na kila mtu, bila kujali bajeti yake. Clue Plus hutuwezesha kuwapa watu wanaotumia Clue manufaa zaidi, huku tukiendelea kuwa kampuni yenye uwezo wa kujiendesha kifedha kwa muda mrefu.
------
Hujapata kile ulichokuwa ukitafuta? Angalia makala zifuatazo kwa maelezo zaidi kuhusu mada:
Clue Plus inajumuisha nini?
Ni vipengele gani vya Premium vinavyopatikana katika Clue-Ufuatiliaji wa hedhi?
Ni vipengele gani vya Premium vinavyopatikana katika Clue Ujauzito?
Clue Plus inagharimu kiasi gani?
Ninawezaje kujisajili kwenye Clue Plus?
------
Ungependa kujua zaidi kuhusu Clue? Tufuate kwenye mitandao ya kijamii:
Instagram, TikTok na LinkedIn