Jinsi ya kudhibiti data zako kwenye Clue

Ni wewe unayeamua jinsi unavyotaka kufuatilia, kubadilisha au kufuta data zako za afya. Pia unaweza kudhibiti jinsi data zako za afya na data nyingine za programu zinavyochakatwa kupitia mipangilio yako ya faragha. Haya hapa ni maelekezo yanayoweza kukusaidia:

  • Ili kubadilisha data za afya ulizofuatilia awali, fuata hatua zilizo hapa.
  • Ili kufuta kabisa data zako zote kutoka Clue, utahitaji kufuta akaunti yako ya Clue. Fuata hatua zilizo hapa.
  • Ili kupata nakala ya data zako za Clue (kama ilivyoainishwa katika haki ya uhamishaji wa data chini ya Kifungu cha 20 cha GDPR), fuata hatua zilizo hapa.
  • Ili kupata taarifa kuhusu data zako ambazo zimechakatwa (kama ilivyoainishwa katika haki yako ya kufikia taarifa chini ya Kifungu cha 15 cha GDPR), wasiliana na timu ya usaidizi kwa kujaza fomu iliyo hapa.

Ili kudhibiti mipangilio yako ya faragha na jinsi data zako zinavyochakatwa, fuata hatua zilizo hapa.

 

Ikiwa bado una maswali kuhusu jinsi ya kudhibiti data zako, jisikie huru kututumia barua pepe kupitia fomu yetu ya mawasiliano.

Was this article helpful?
0 out of 0 found this helpful
Have more questions? Submit a request
Powered by Zendesk