Kwa nini makadirio ya mzunguko wangu si sahihi?

Clue hutengeneza makadirio ya mzunguko wako kulingana na taarifa ulizofuatilia hapo awali. Mizunguko inaweza kubadilika kadiri muda unavyopita. Inaweza pia kuathiriwa kwa muda na mambo kama vile msongo wa mawazo, usingizi, lishe, mabadiliko ya saa baada ya kusafiri, au dawa kama vile uzazi wa mpango wa dharura.

Mabadiliko haya yanapotokea, huenda algoriti ya Clue isiweze kutoa makadirio sahihi kabisa kila wakati, kwa sababu haiwezi kujua kwa usahihi jinsi mambo haya yalivyoathiri mzunguko wako.

Ili kufanya makadirio ya mzunguko wako katika Clue yawe sahihi kadiri iwezekanavyo, tunapendekeza:

Jifunze zaidi kuhusu jinsi Clue inavyokokotoa makadirio hapa.

------

Ungependa kujua zaidi kuhusu Clue? Tufuate kwenye mitandao ya kijamii: 
Instagram, TikTok na LinkedIn

Was this article helpful?
0 out of 1 found this helpful
Have more questions? Submit a request
Powered by Zendesk