Ikiwa tayari una akaunti ya Clue, ni rahisi kujisajili kwenye Clue Plus. Fuata hatua hizi:
- Fungua programu ya Clue.
- Nenda kwenye menyu ya Zaidi iliyo kwenye kona ya juu kulia ya Mwonekano wa Mzunguko.
- Gusa “Pata Clue Plus” chini ya jina la wasifu wako.
- Chagua mpango wako (wa kila mwezi au wa kila mwaka).
- Gusa “Jisajili sasa”.
- Thibitisha usajili wako kupitia Apple App Store au Google Play Store.
- Usajili wako ukishathibitishwa, uko tayari kuanza kutumia Clue Plus.
Ikiwa bado huna akaunti ya Clue, fuata maelekezo hapa na utaweza kujisajili kwenye Clue Plus unapofuata hatua hizo.
Ikiwa ungependa kujisajili moja kwa moja kupitia kwetu na kunufaika na ofa zetu za msimu, fuata tu hatua hizi.
Pata maelezo zaidi kuhusu unachopata ukiwa na Clue Plus katika makala haya.
------
Ungependa kujua zaidi kuhusu Clue? Tufuate kwenye mitandao ya kijamii:
Instagram, TikTok na LinkedIn