Kwa nini siwezi kutumia programu bila muunganisho wa intaneti?

Tangu kuzinduliwa upya kwa programu ya Clue yenye muundo mpya, baadhi ya sehemu za programu haziwezi tena kutumiwa bila muunganisho wa intaneti. 

Tulibadilisha jinsi programu inavyofanya kazi bila muunganisho wa intaneti kwenye mfumo wetu mpya ili kupunguza hatari ya kupoteza taarifa. Katika toleo la awali la programu ya Clue, sababu ya kawaida zaidi ya kupoteza taarifa ilikuwa hitilafu zilizotokea wakati wa kusawazisha taarifa bila muunganisho wa intaneti. Kwa kufanya mabadiliko haya, tunaweza kupunguza hatari ya kupoteza taarifa na kutatua matatizo kwa haraka zaidi yanapotokea. 

------

Ungependa kujua zaidi kuhusu Clue? Tufuate kwenye mitandao ya kijamii: 
Instagram, TikTok na LinkedIn

 

Was this article helpful?
0 out of 0 found this helpful
Have more questions? Submit a request
Powered by Zendesk