Ninawezaje kubadilisha vipimo vya programu yangu ya Clue?

Ikiwa unataka kubadilisha vipimo kwenye programu ya Clue kutoka nyuzi Selsiasi kwenda Farenhaiti au kutoka pauni kwenda kilogramu (au kinyume chake), fuata hatua hizi:

 

  1. Fungua programu ya Clue.
  2. Nenda kwenye Menyu zaidi, kwa kugusa alama ya “=” iliyo upande wa juu kulia kwenye Mwonekano wa Mzunguko.
  3. Gusa 'Mipangilio'. 
  4. Chini ya "Mwonekano", gusa "Vipimo". 
  5. Hapa unaweza kubadilisha vipimo na kuchagua mfumo wa vipimo unaopendelea.

 

------

Hukupata ulichokuwa unatafuta? Angalia makala zifuatazo kwa maelezo zaidi kuhusu mada:

Ninawezaje kubadilisha au kufuta nilichofuatilia kwenye Clue?
Ninawezaje kubadilisha siku ya kwanza ya wiki kwenye Kalenda yangu ya Clue?
Ninawezaje kubadilisha lugha kwenye programu?

------

Ungependa kujua zaidi kuhusu Clue? Tufuate kwenye mitandao ya kijamii: 
Instagram, TikTok na LinkedIn

 

 

Was this article helpful?
0 out of 6 found this helpful
Have more questions? Submit a request
Powered by Zendesk